Fumadilu Kalimanzila
JF-Expert Member
- Dec 10, 2016
- 1,770
- 5,423
1.Henry Kissinger
2.Madeline Albright
3.Christopher Warren
4.John Kerry
5.Hillary Rodham Clinton
6.Rex Tellerson
7. Mike Pompeo
Yupi kati ya hao Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Marekani ni maarufu miongoni mwa Watanzani na unadhani ni maarufu kwa lipi?
Huna macho au ?Ungemuweka na Collin Powel
Mike Pompeo ! Baada ya kumtwanga US entry ban huyu mpuuzi Mamkonda !1.Henry Kissinger
2.Madeline Albright
3.Christopher Warren
4.Collin Powell
5.Condolleezza Rice
6.John Kerry
7. Hillary Rodham Clinton
8.Rex Tillerson
9. Mike Pompeo
Yupi kati ya hao Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Marekani ni maarufu miongoni mwa Watanzani na unadhani ni maarufu kwa lipi?
Acha hasira Ndugu yangu umesahau yale maswali tuliyokuwaga tukiulizwaga shule za msingi kama vile Rais wa Kwanza wa Ghana ni............ (a) Paulo Makonda (b) Kwame Nkrumah (c) Diamond Platinums .Sasa Maswali hayo yalikuwa yanatusaidiaje kiuchumi?Swali la kijinga na utakua hauko sawa kiakili,swali hilo linatukwamuaje kiuchumi?,bastard
Sent using Jamii Forums mobile app
Collin Powell ‘mnyama’ sisi wafuasi wa Saddam Hussain tunamkumbuka sana. Wafuasi wa Bashite watamkumbuka sana Mike Pompeo.1.Henry Kissinger
2.Madeline Albright
3.Christopher Warren
4.Collin Powell
5.Condolleezza Rice
6.John Kerry
7. Hillary Rodham Clinton
8.Rex Tillerson
9. Mike Pompeo
Yupi kati ya hao Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Marekani ni maarufu miongoni mwa Watanzania na unadhani ni maarufu kwa lipi?
Na hili ndio lengo la mleta mada,alihitaji jibu kama hili.Mike Pompeo ! Baada ya kumtwanga US entry ban huyu mpuuzi Mamkonda !
1.Henry Kissinger
2.Madeline Albright
3.Christopher Warren
4.Collin Powell
5.Condolleezza Rice
6.John Kerry
7. Hillary Rodham Clinton
8.Rex Tillerson
9. Mike Pompeo
Yupi kati ya hao Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Marekani ni maarufu miongoni mwa Watanzania na unadhani ni maarufu kwa lipi?