GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,645
- 10,867
Wataalam wa Katiba mnisaidie hili!
Kwa mujibu wa utendaji wake, tuna Waziri Mkuu wa Tanzania au wa Tanganyika?
Tanzania ni muungano wa nchi mbili: Zanzibar na Tanganyika! Lakini ninavyofahamu, utendaji wa cheo cha Uwaziri Mkuu wa JMT unaishia ndani ya Tanganyika!
Isitoshe, nchi ya Zanzibar inayo:
1. Rais wake!
2. Makamu wake wa Rais!
3. Waziri Mkuu wake!
4. Vyombo vyake vya dola!
5. N.k.
Labda ni mimi tu ndiyo sijaelewa?