GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,645
- 10,867
Sawa!wassira mzee wa moja na mbili anakuja kukuelewesha tulia hapohapo!
Waziri mkuu wa Danganyika na Zaa inzi baaWataalam wa Katiba mnisaidie hili!
Kwa mujibu wa utendaji wake, tuna Waziri Mkuu wa Tanzania au wa Tanganyika?
Tanzania ni muungano wa nchi mbili: Zanzibar na Tanganyika! Lakini ninavyofahamu, utendaji wa cheo cha Uwaziri Mkuu wa JMT unaishia ndani ya Tanganyika!
Isitoshe, nchi ya Zanzibar inayo:
1. Rais wake!
2. Makamu wake wa Rais!
3. Waziri Mkuu wake!
4. Vyombo vyake vya dola!
5. N.k.
Labda ni mimi tu ndiyo sijaelewa?
Yep. Tukatae Zaa inzi baa.Tunaitaka Tanganyika yetu.
Waziri Kiongozi.Zanzibar waziri mkuu kiongozi
Ndiye Waziri Mkuu wa Taifa la Zanzibar!Waziri Kiongozi.
Zanzibar sio taifa!Ndiye Waziri Mkuu wa Taifa la Zanzibar!
Zanzibar inapungikiwa nini?Zanzibar sio taifa!
Bendera pale UNZanzibar inapungikiwa nini?
Bora umekuja kuweka sawa, watu wanaandika uwongo kwa confidence zote.Zanzibar haina waziri mkuu. Kuna makamo wa kwanza wa raisi (ceremonial) na makamu wa pili ambaye ndiye mkuu wa shughuli za serikali.
Haina tofauti na states za nchi zenye federation e.g., USA, India, etc. States za USA, kwa mfano, zina kila kitu except jeshi la ulinzi, central bank, foreign affairs, immigration. Zanzibar nayo haina hivi vitu.Zanzibar inapungikiwa nini?
Yeah, nadhani baada ya kuanza kwa Serikali ya Mseto cheo cha Waziri Kiongozi kiliondolewa!Bora umekuja kuweka sawa, watu wanaandika uwongo kwa confidence zote.
Makamo wa kwanza ndiye MAKAMU WA RAIS, na MAKAMO WA PILI ndiye Waziri Mkuu!Zanzibar haina waziri mkuu. Kuna makamo wa kwanza wa raisi (ceremonial) na makamu wa pili ambaye ndiye mkuu wa shughuli za serikali.