GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,645
- 10,867
- Thread starter
-
- #21
Kama hana mamlaka Zanzibar, kuna haja gani ya kuitwa WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA?ni waziri mkuu wa tanzania ambaye hana mamlaka zanzibar
🥺Bendera pale UN
Kiti ambacho kinatumiwa sasaiv pale UN kilikua ni cha Zanzibar 😃Bendera pale UN
kwani mkuu nilichoandika ni uongo?Ka.a hana mamlaka Zanzibar, kuna haja gani ya kuitwa WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA?
Isingetosha kuitwa WAZIRI MKUU WA TANGANYIKA? Au lengo hapo ni kuificha Tanganyika?
Kwamba Zanzibar ilipata uhuru mapema kabla ya Tanganyika?Kiti ambacho kinatumiwa sasaiv pale UN kilikua ni cha Zanzibar 😃
Baada ya kuungana na Tanganyika ndo kikawa ni cha Tanzania
Rais Hussein Mwinyi ni rais wa wilaya au mkoa?Zanzibar sio taifa!
Sasa nini maana ya kiongozi mkuu wa shuguli za serikali?Zanzibar haina waziri mkuu. Kuna makamo wa kwanza wa raisi (ceremonial) na makamu wa pili ambaye ndiye mkuu wa shughuli za serikali.
President of Zanzibar, a self-governing constituent part of Tanzania. Sio kila aitwaye Rais anaongoza taifa!Rais Hussein Mwinyi ni rais wa wilaya au mkoa?
Zanzibar ni nchi na koloni lake ni Tanganyika ndiyo maana Tanganyika rais wala waziri.
Zanzibar ni ndogo kuliko jimbo la Temeke lakini ina marais wawili, mawaziri huko nchi ya Zanzibar na mawaziri katika koloni la Tanganyika. Mabalozi, makatibu wa wizara mbalimbali na kwa zaidi ya 95% ya mishara yao ni kodi za Tanganyika huku hakuna Mtanganyika mwenye uongozi katika taifa la Zanzibar.