Ni wengi wanatamani kurudi CHADEMA.. lakini....!!!!

Kiongozi hutakiwa kuwa kiroporopo
 
chadema ina mvuto wa asili haitafutika au kusahalika. imekwisha jenga uaminifu mkubwa kwa wananchi. kwa hili Mbowe alijitahidi.
 
Matendo yanaongea kuliko maneno. Mtu kama kanunuliwa huhitaji kuoneshwa risiti!
 
Kwa maelezo yako,Wewe ndio mwenye shida ya kulazimisha USHAURI wako kwamba lazima ukubaliwe. Unaelewa maana ya ushauri?
 
Waliohama CHADEMA watakuja kujuta sana lakini wakiamua kurudi muwe wapole muwapokee.
 
CCM ndio ilishateketea kitambo.Bila wizi wa kura,nguvu ya dola ;tiss &polisiCCM ,hakuna kitu hapo kwenye hicho chama kizee
 
Basi tuseme kijani mmekamilika na hamhitaji kukosolewa ndio maana kinatafitwa kichwa cha gwaji pindi kikitoka nje ya gamba lake?
 
Sasa ndugu yangu Mshana Jr wale g55 ni wa kuwaita wengi kweli? Au ni wengi katika 55 🤣🤣🤣🤣🤣
Nyomi😀
Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…