Ni wiki mbilo zimepita tangu tunyamaziane na mpenzi wangu. Ukimya huu maana yake nini?

Ni wiki mbilo zimepita tangu tunyamaziane na mpenzi wangu. Ukimya huu maana yake nini?

Mkuu wiki mbili chache endelea kumnyamazia na hizi mvua watakurudishia mpenzi mwezi jua likianza kuwaka
 
Sasa sisi tufanyeje? Mnyamaziane nyie, na sababu za kuwa hivyo mnazijua nyie.
Afu unataka sisi tujue maana ake, wee umevurugwaa? Lol
Nweii polee sana. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wewe na mpenzi wako wote VETA ndio dawa yenu.
 
Back
Top Bottom