Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 17,613
- 56,787
Marufuku kutujazia nzi hukuWatu wa Facebook hawaruhusiwi kuja kwenye majukwaa ya JamiiForums kupata ushauri, habari, Elimu n.k????
Soma kichwa cha madaUmeanza lini kuwa Bambo ?
Mbona umrkimbilia kipato kumbe mnapend ela zetu eeeheKipato chako kikoje kwani? Huenda humtimizii mahitaji yake ya Msingi. Anza hivo mara moja