Mjasiri na Mali
JF-Expert Member
- Jun 24, 2017
- 5,366
- 14,167
Lazima utakuwa ulikuwa mwenyekiti wa kamati. Vinginevyo siamini ndugu yangu umeamua kuhamia kwenye ushilawadu... Vinginevyo ntahudhuria kwenye uzinduzi wa albam yako ya taarab...Wasalaam wana jamvi.
Kwenye sherehe harusi ya Msanii wa muziki Shilole baadhi ya wasanii walitoa ahadi nyingi na wengi sana walitoa ahadi lakini kulingana na taarifa za kamati ya ufatiliaji wa ahadi zilizotolewa siku hiyo hadi sasa 99.9% ya ahadi zilizotolewa siku hiyo hazijatimizwa na hakuna dalili yeyote ya ahadi husika kutimizwa....
Kati ya watu walio toa ahadi kwa Shilole na Mmewe ni msanii mmakonde Harmonize na Mzungu wake wa Arusha ambao kwa pamoja waliahadi kumnunulia Shilole gari yenye thamani ya Million 10 wakishaichagua wawambie hata kama ni leo au kesho...baada ya ahadi ile ukumbi ulilipuka kwa vifijo na nderemo kutokana na ahadi ya uhakika na ya haraka ailiyotoa Konde Boy.....
Baada ya harusi kamati ilibidi kuanza kufatilia ahadi za watu walio toa lakini kamati iliona ianze na ahadi ya msanii Harmonize ambayo ilionesha ni ya haraka sana na alionesha anataka kuitimiza haraka sana..... baada ya kupata aina ya gari walio hitaji wahusika kamati walimpelekea ujumbe Harmonize lakini hadi sasa Harmonize amepiga kimya as if si yeye aliyetoa ahadi ile na wala hajibu sms za wana kamati wala hatoi ushirikianoe
Kwakuwa ahadi ni deni wana kamati wamejipanga kuonana na uongozi wa Harmonize ili wajue watatimiza vipi hiyo ahadi aliyotoa msanii wao.....
Wasalaam wana jamvi
Tukutane boko bus.............kwenye uzinduzi wa album hahahahahahLazima utakuwa ulikuwa mwenyekiti wa kamati. Vinginevyo siamini ndugu yangu umeamua kuhamia kwenye ushilawadu... Vinginevyo ntahudhuria kwenye uzinduzi wa albam yako ya taarab...
Nimehamia Mabwepande swahiba... Napambana na matikiti maji na matango. Mbolea nachukua kwenye mabanda ya kitimoto na kuku feki...LOLTukutane boko bus.............kwenye uzinduzi wa album hahahahahah
Hahahaaaa, ovyoooo...eti pedeshee Hamo,Pedeshee Hamo kaingia Mitini.., ndo shida ya kufanya jambo kwa lengo la kusifiwa ama kujionesha una kitu kumbe nawe Kapuku tu!!!
Ustadhi Uchebe fanya kazi, pambana na ulofa wakoWasalaam wana jamvi.
Kwenye sherehe harusi ya Msanii wa muziki Shilole baadhi ya wasanii walitoa ahadi nyingi na wengi sana walitoa ahadi lakini kulingana na taarifa za kamati ya ufatiliaji wa ahadi zilizotolewa siku hiyo hadi sasa 99.9% ya ahadi zilizotolewa siku hiyo hazijatimizwa na hakuna dalili yeyote ya ahadi husika kutimizwa....
Kati ya watu walio toa ahadi kwa Shilole na Mmewe ni msanii mmakonde Harmonize na Mzungu wake wa Arusha ambao kwa pamoja waliahadi kumnunulia Shilole gari yenye thamani ya Million 10 wakishaichagua wawambie hata kama ni leo au kesho...baada ya ahadi ile ukumbi ulilipuka kwa vifijo na nderemo kutokana na ahadi ya uhakika na ya haraka ailiyotoa Konde Boy.....
Baada ya harusi kamati ilibidi kuanza kufatilia ahadi za watu walio toa lakini kamati iliona ianze na ahadi ya msanii Harmonize ambayo ilionesha ni ya haraka sana na alionesha anataka kuitimiza haraka sana..... baada ya kupata aina ya gari walio hitaji wahusika kamati walimpelekea ujumbe Harmonize lakini hadi sasa Harmonize amepiga kimya as if si yeye aliyetoa ahadi ile na wala hajibu sms za wana kamati wala hatoi ushirikianoe
Kwakuwa ahadi ni deni wana kamati wamejipanga kuonana na uongozi wa Harmonize ili wajue watatimiza vipi hiyo ahadi aliyotoa msanii wao.....
Wasalaam wana jamvi
Huwa wanajifunzia kwenye kampeni za uchaguzi,Sijui nani kawafundisha uongo uongo hao WCB boss muongo, vijakazi waongo
Bora angewajengea hata madarasa manne kijijini kwao yangewasaidia wengi,kuliko kumnunulia MTU gariWamakonde wamempandia na kumwambia kulikoni unatuacha sisi ndugu zako tunashindia udongo na mapera unakwenda mpa malaya pori milion 9?