Ni wiki tatu sasa msanii Harmonize hajatimiza ahadi ya gari ya 10M aliyomuahidi Shilole

Wasalaam wana jamvi.

Kwenye sherehe harusi ya Msanii wa muziki Shilole baadhi ya wasanii walitoa ahadi nyingi na wengi sana walitoa ahadi lakini kulingana na taarifa za kamati ya ufatiliaji wa ahadi zilizotolewa siku hiyo hadi sasa 99.9% ya ahadi zilizotolewa siku hiyo hazijatimizwa na hakuna dalili yeyote ya ahadi husika kutimizwa....
Kati ya watu walio toa ahadi kwa Shilole na Mmewe ni msanii mmakonde Harmonize na Mzungu wake wa Arusha ambao kwa pamoja waliahadi kumnunulia Shilole gari yenye thamani ya Million 10 wakishaichagua wawambie hata kama ni leo au kesho...baada ya ahadi ile ukumbi ulilipuka kwa vifijo na nderemo kutokana na ahadi ya uhakika na ya haraka ailiyotoa Konde Boy.....

Baada ya harusi kamati ilibidi kuanza kufatilia ahadi za watu walio toa lakini kamati iliona ianze na ahadi ya msanii Harmonize ambayo ilionesha ni ya haraka sana na alionesha anataka kuitimiza haraka sana..... baada ya kupata aina ya gari walio hitaji wahusika kamati walimpelekea ujumbe Harmonize lakini hadi sasa Harmonize amepiga kimya as if si yeye aliyetoa ahadi ile na wala hajibu sms za wana kamati wala hatoi ushirikianoe

Kwakuwa ahadi ni deni wana kamati wamejipanga kuonana na uongozi wa Harmonize ili wajue watatimiza vipi hiyo ahadi aliyotoa msanii wao.....

Wasalaam wana jamvi
Lazima utakuwa ulikuwa mwenyekiti wa kamati. Vinginevyo siamini ndugu yangu umeamua kuhamia kwenye ushilawadu... Vinginevyo ntahudhuria kwenye uzinduzi wa albam yako ya taarab...
 
ana chukua kwa yule mzungu wake.......ma hela ma randi you know.....
 
Anawasubiri waachane,sasa na wenyewe wamekaza safari hii hamna kuachana kwa hyo harmo ww lipa tuu deni lako
 
Kuna harusi moja DSM niliwahi kumuahidi Jamaa uwanja, sasa baada ya kunifuatilia sana nikamwambia uwanja wenyewe ni CCM kirumba kama utakupendeza, ahaahaa Jamaa akakata mawasiliano na mimi#Sipendagi kufuatiliwa ahadi
 
Hiyo kamati wamechemsha walitakiwa waiweke kimaandishi
Huyo mmakonde a sign na boss wake.
 
Pedeshee Harmonize mtoto wa Ndama.
 
Ndalichako na Boss wake wenyewe kila siku wanatudanganya kuusu elimu bure..sembuse konde boy
 
Wasalaam wana jamvi.

Kwenye sherehe harusi ya Msanii wa muziki Shilole baadhi ya wasanii walitoa ahadi nyingi na wengi sana walitoa ahadi lakini kulingana na taarifa za kamati ya ufatiliaji wa ahadi zilizotolewa siku hiyo hadi sasa 99.9% ya ahadi zilizotolewa siku hiyo hazijatimizwa na hakuna dalili yeyote ya ahadi husika kutimizwa....
Kati ya watu walio toa ahadi kwa Shilole na Mmewe ni msanii mmakonde Harmonize na Mzungu wake wa Arusha ambao kwa pamoja waliahadi kumnunulia Shilole gari yenye thamani ya Million 10 wakishaichagua wawambie hata kama ni leo au kesho...baada ya ahadi ile ukumbi ulilipuka kwa vifijo na nderemo kutokana na ahadi ya uhakika na ya haraka ailiyotoa Konde Boy.....

Baada ya harusi kamati ilibidi kuanza kufatilia ahadi za watu walio toa lakini kamati iliona ianze na ahadi ya msanii Harmonize ambayo ilionesha ni ya haraka sana na alionesha anataka kuitimiza haraka sana..... baada ya kupata aina ya gari walio hitaji wahusika kamati walimpelekea ujumbe Harmonize lakini hadi sasa Harmonize amepiga kimya as if si yeye aliyetoa ahadi ile na wala hajibu sms za wana kamati wala hatoi ushirikianoe

Kwakuwa ahadi ni deni wana kamati wamejipanga kuonana na uongozi wa Harmonize ili wajue watatimiza vipi hiyo ahadi aliyotoa msanii wao.....

Wasalaam wana jamvi
Ustadhi Uchebe fanya kazi, pambana na ulofa wako
 
Wamakonde wamempandia na kumwambia kulikoni unatuacha sisi ndugu zako tunashindia udongo na mapera unakwenda mpa malaya pori milion 9?
Bora angewajengea hata madarasa manne kijijini kwao yangewasaidia wengi,kuliko kumnunulia MTU gari
 
Back
Top Bottom