NI wilaya gani Tanzania yenye Sifa hizi?

NI wilaya gani Tanzania yenye Sifa hizi?

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
3,411
Reaction score
4,435
Natamani Sana nikija kufika miaka kuanzia 40 niishi nnje ya dar kabisa, nataman nipate wilaya yenye Sifa zifiatazo:-

*maji Safi
*Umeme
*Ardhi yenye rutuba
*Vyakula vya kutosha
*Pawe panalimwa + ufugaji
*Panafikika kirahisi kutoka mikoa mingine
*Internet ya uhakika


Nawaza Sana kuhusu chato naskia pazuri sana
 
Back
Top Bottom