Ni wimbo gani kwa sasa unaweza kuusikiliza kwa masaa hata 7 non-stop

Ni wimbo gani kwa sasa unaweza kuusikiliza kwa masaa hata 7 non-stop

umenipendea nini by Otile Brown ft. Baraka The Prince.

moja kati ya collaborations kali za muda wote alizowahi kufanya Baraka.

Nakiri wazi nikiwa na akili zangu timamu hapa ni vipaji vitatu vilikutana
kutengeneza hii ngoma...kwa maana ya producer, Otile na Baraka.

kwa ambaye hujabahatika kuisikiliza hii ngoma, kuna namna unachelewa kupata mashairi haya mazuri.
 
Back
Top Bottom