Ni wimbo gani kwa sasa unaweza kuusikiliza kwa masaa hata 7 non-stop

Kuna pindi Tu inatokea wimbo Fulani ukaupenda Sana yaani unaweza Ku repeat hata mara 100 na usione shida hasa kwenye safari mfano kwenye bus umevaa zako earphones

Mimi kwa sasa.. nitaamini -israel Mbonyi toka mchana mpaka alfajiri nitausikiliza.
Wapuuzi ndo watatiki oktoba. Ngoma kali sana ile
 
Nyimbo nzuri sana hii aaah aseeh sweet mother
 
Kuna pindi Tu inatokea wimbo Fulani ukaupenda Sana yaani unaweza Ku repeat hata mara 100 na usione shida hasa kwenye safari mfano kwenye bus umevaa zako earphones

Mimi kwa sasa.. nitaamini -israel Mbonyi toka mchana mpaka alfajiri nitausikiliza.
Sadaka yangu...
 
Hold for my hands ft burna boy & Ed sheeran,, πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…