Ni wivu au kushindwa kujiamini?

Wivu uliozidi unakuwaje!

Mdada kaalikwa shereheni, mwanaume anakaa nje ya ukumbi mpaka sherehe iishe! Akitoka anaanza kuulizwa mezani alikuwa amekaa na nani? Wanaume walikuwepo? Na tuhuma kuwa si ajabu wamepeana namba za simu! Hata kama kuna mdada jirani ambaye watarudi wote nyumbani, sherehe ikiisha mwanaume anaendesha gari nyuma ya gari aliyopanda mkewe hadi home! Khaa..hii si kero?
 


kwa hiyo unataka kusema nini hapa Dina,
kuwa wivu haufai kabisa au?
 
Chai ya leo sijui nimewekewa limbwata sijawahi kunywa chai nyingi kiasi hiki tena mapema asubuhi hii yaani niko kikombe cha 7 sasa

Angalia mpwa isije kuwa,
limbwata la wivu hilo?
 
Wivu uliozidi unakuwaje!

Wivu uliozidi ni kama yule mkenya wa Minessota, kaua Bibi na wanawe wawili, kisa eti anatembea njeee!!!, Stori nyingine nasikia jamaa kijijini, kauliza bibi, masaa yoote hayo, ulikuwa wafanya nini huko nje??, Mke akamwambia natoka kujisaidia. Vyoo ni kwenye majani, jamaa kwa wivu, mbio na mkewe eti amwonyeshe mavi alio kunya , jamaa akayapiga finger, ndioo ooohhh kweli ulitoka chooo, kwani bado yako moto.
 



eeeeh, huu wivu kiboko!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…