Ni ya kweli haya kuhusu wizara ya fedha?

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,058
Reaction score
2,195
Eti huku mtaani kuna tetesi kwamba wizara ya fedha ina kawaida ya kupendelea graduates walio hitimu kwenye vyuo vyake vya IFM,IAA na TIA katika kuwapatia ajira kwenye mashirika yalyo chini yake,je hzo tetes ni za kwel au ni maneno ya wakosaji 2?
 
fanyia kazi tetesi zako mkuu, ninao wafaham mimi walimaliza UDSM na wapo huko wizarani, inawezekana tetesi hizo zikawa za kweli au za uongo, fuatilia tu utajua.
 
Back
Top Bottom