Ni yapi hasa matumizi ya video za ngono kiasi kwamba mtu anatumia mpaka gharama kuyatafuta?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Zamani niliwahi kusikia kwamba watu huangalia video za ngono kwa ajili ya kujifunza style mbalimbali za kufanya tendo la ngono.

Leo hii watu wengi wamekuwa waraibu wakubwa wa video hizo kiasi kwamba mtu yupo tayari ajiunge bando la internet hata mara tano kwa siku ili tu aone maudhui hayo.

Swali langu la msingi ni je, kweli kuna mtu anatizama video hizi kama sehemu ya starehe tu ya macho tena akiwa peke yake chumbani bila kujichua?
 
Hizo ni njia za shetani katika kumtenga bonadamu na Mungu wake...
 
Zamani ya mwaka gani boss?
Video za ngono lengo kubwa ni kujichua, au kuamsha hisia za mapenzi mkiwa na mpenzi wako ndani. Sometimes ni lonliness, au kutoa negative thoughts,Hamna sababu nyingine.yaani hiyo ni miaka na mikaka.
 
We unazitumia kufanya nini....
 
Ni biashara wana zinunua nao wanauza kwa watu wengine kama host za free internet
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…