Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Nina mpango wa kutibu kipara, ngoja nisubiri maoni ya wadauKumeibuka wimbi la wafanyabiashara wengi wakiingiza nchini madawa mbalimbali yenye kemikali kali za kurefusha uume, kuongeza ndevu, kukupa six packs hata kama una mtumbo mkubwa kama...
doohKuna sela langu moja, likataka short cut apate mwili wa kuvutia warembo, akaends kumeza vidonge vya kufanya uwe na misuli mikubwa, upande mmoja akawa mkubwa sana kuliku upande mwingine.
Badala ya kuvutia akajikuta amekuwa kilema wa kudumu
Mkuu mwaisa hayo yote yanafanyika hapa Tanzania 🤣🤣🤣Kumeibuka wimbi la wafanyabiashara wengi wakiingiza nchini madawa mbalimbali yenye kemikali kali za kurefusha uume, kuongeza ndevu, kukupa six packs...
Bongo Dar es SalaamMkuu mwaisa hayo yote yanafanyika hapa Tanzania 🤣🤣🤣
Hatari sana sana pole yake, amepata funzowadiz ,
Pia nina jamaa yangu mwingine alikuwa anafanya kazi ya kuendesha folklift bandari I, basi akaona mzigo wa vitu kama maziwa ya unga, njaa imemchakaza kisawasawa, akaona heri ayaoonje hayo...
Laana za kujitakiaKuna sela langu moja, likataka short cut apate mwili wa kuvutia warembo, akaends kumeza vidonge vya kufanya uwe na misuli mikubwa, upande mmoja akawa mkubwa sana kuliku upande mwingine.
Badala ya kuvutia akajikuta amekuwa kilema wa kudumu
So unataka uwe na meno 98?Mimi nasubiri dawa za KUOTESHA MENO YALIYONGOOKA hata yawe na madhara gani nitatumia. Naamini kama mchina ameweza kutengeneza dawa za kukuza sehemu ya mwili...
hapana yale ya ukubwani yakingooka yaote tenaWi
So unataka uwe na meno 98?
So unataka uwe na meno 98Mimi nasubiri dawa za KUOTESHA MENO YALIYONGOOKA hata yawe na madhara gani nitatumia. Naamini kama mchina ameweza kutengeneza dawa za kukuza sehemu ya mwili, hawezi kushindwa kuzifufua celi za mwili zinazohusika na meno na kuziamuru zitengeneze jino jipya. Haya mambo madaktari wa meno wanasomea miaka saba halafu suluisho ni kungoa aukufanya root canal, au artificial implant zote ni magumashi zimeshingwa na zina madhara zaidi
Unaombea uwe kibogoyo?hapana yale ya ukubwani yakingooka yaote tena
Aisee...Na michubuo ya nyakati hizi wanawake vwanang'aa kinoma noma hakika wanapendeza hadi raha.