Sehemu gani kkooIngia k/koo zimetapakaa km njugu wewe tu na pesa yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sehemu gani kkooIngia k/koo zimetapakaa km njugu wewe tu na pesa yako
Unataka ipi nikupe winga wa keriakoo umelizane nae mwenyewe,Sehemu gani kkoo
Hiyo code naifahamu vyema hiyo dawaUmenikumbusha kisa Cha trafik mmoja alikua anasumbua Sana katikati ya jiji. Kila siku yupo tu Hana off huku anapiga pesa. Basi ukijua matawi wenzio wanajua mizizi. Kuna mgahawa mmoja alikua anapata lunch ya nguvu kila siku. Siku hiyo akaenda lunch na kuagiza biriani (si pesa anayo) watoto wa mjini wakamuwekea Ile dawa ya MTU asiyepata choo Ile MTU aharishe kufungua tumbo. Walimuwekea double doze. Nusu saa nyingi trafik akawa anatafuta choo. Dar vyoo Ni vya kutafuta Sana, mpaka alipopata choo kilipo suruali nyeupe aliyovaa ilikua haifai, dogo Alisha jiharishia. Basi kangia chhooni kujifuta futa, alipotoka alikodi taxi faster na ikawa mwisho kuonekana kwenye kile kijiwe.
Njoo pmUnataka ipi nikupe winga wa keriakoo umelizane nae mwenyewe,
😅Mbavu zangu mie
hahaha bujibuji we hatariwadiz ,
Pia nina jamaa yangu mwingine alikuwa anafanya kazi ya kuendesha folklift bandari I, basi akaona mzigo wa vitu kama maziwa ya unga, njaa imemchakaza kisawasawa, akaona heri ayaoonje hayo, yalikuwa ni matamu, yenye ladha tamu yenye chumvichumvi.
Baada ya muda mfupi uume ukamsimama unachuruzika tu mchuzi, mabao yanaruka kama bomba la Ruvu chini.
Kalowa overall limejaa mijimbegu ya kiume ambayo amejimwagia. Kamwagq hadi kaishiwa nguvu yuko hoi bin taaban.
Kumbe alichokuwa amekula ni kemikali kwa ajili ya madume ya ng'ombe wa mbegu.
Zamani kulikuwa na muuza vipodozi anaitwa Solo Vipodozi alikuwa anauza dawa za kuongeza kalio. Wengine walitoka na makalio yana maumbo kama gari la kubeba mkaa, tako shapeless kabisa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji847][emoji847][emoji847][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukiipata nitagNa ndo wanakula wake za watu
Mimi hii ya ndevu nahitaji
Mbona umecheka sana?[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji847][emoji847][emoji847][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]