Ni yapi madhara yatookanayo ya kemikali kali za kuchubua ngozi, kuongeza ndevu, kuotesha nywele kwenye vipara, kuongeza makalio na maziwa

Hayo madawa mengi yanapita njia za magendo na yanaviambata vyenye madhara
 
Hiyo code naifahamu vyema hiyo dawa
 
hahaha bujibuji we hatari
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji847][emoji847][emoji847][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Zamani kulikuwa na muuza vipodozi anaitwa Solo Vipodozi alikuwa anauza dawa za kuongeza kalio. Wengine walitoka na makalio yana maumbo kama gari la kubeba mkaa, tako shapeless kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…