Ni yapi mafanikio ya kocha mpya wa Simba?

Simba wameleta sindano ila nyani walishaanza kuficha makalio...subirini dawa iwaingie ndo muanze kurukaruka apa
 
Toka 2009 hadi 2021 amehama/kufukuzwa Mara 11. Why? Hata pale unapo employ mtu akiwa na cv ya kutokuwa stable lazima ku question na kufanya due diligence ya nguvu.
 
Toka 2009 hadi 2021 amehama/kufukuzwa Mara 11. Why? Hata pale unapo employ mtu akiwa na cv ya kutokuwa stable lazima ku question na kufanya due diligence ya nguvu.
Unahiji swala la kocha kutimuliwa? Nyinyi mmefukuza makocha wangapi ndani ya hii miaka mitano?

Kwamba huyo wa kwenu mmempata kwa kuvunja mkataba wake alipokuwa Merrekh?

Unataka kusema umesahau kuwa professor Nabi mlimuokota baada ya kutimuliwa Merrekh?[emoji28][emoji28][emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Soka la africa lina kipi cha ziada? Achilia mbali upumbavu wa nje ya uwanja.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mode of training ziko tofauti kabisa na Mabara mengine katika mpira hapa namaanisha training facilities za afrika kama viwanja vya mazoezi na match ni tofauti kabisa ila kocha kutoka Ulaya hili la viwanja vibovu vitampa shida sana

Match Approaching kutokana na mpinzani unaye kutana naye, approach za match za Kiafrika ni tofauti na alikotoka

All in all, I wish him all the best coz amekuja kipindi ambacho ni kigumu sana kwake hasa kwa current form ya timu ya simba na mm naamini shida haipo kwa kocha ila ni kwa wachezaji wake
 
Angalia CV yake mkuu, 2014-2015 alikua Headcoach wa Getafe B.
2015-2016 Getafe ya wakubwa, baadae akatimuliwa.
Na Getafe ilishuka daraja msimu huo.
Acha uongo hajawahi kuwa kocha mkuu. Angalia hapo chini
 
Hizo mnazoleta ni drama... Mwaka 2015 alikuwa na miaka 35 tu.
 
Wamechagua Kocha kwa kuwafurahisha Mashabiki, mmemwambia Kocha kuwa Madrid alikua na wakina Benzema na Simba atawakuta kina Kibu!?
Mmemwambia kuwa Madrid alikua na Ramos lakini Simba atamkuta Babu Onyango!?
 
Tofauti na fitina za nje ya uwanja tulizozoea waafrika, mbinu za kimipira zikabaki kuwa chachu kubwa ya mafanikio ki-soccer, ndomaana mkiyoka nje ya africa mnabondwa kwasababu zile fitina zinakosa upenyo wa kusaidia chochote.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…