Antetokounmpo
JF-Expert Member
- Feb 5, 2020
- 1,240
- 2,010
Makolooooooo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makolooooooo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Acha taarabu alafu utueleze, Nabi alifanya nini alipokuwa Merrekh? Na hata hapo Yanga kawapa mafanikio gani mpaka sasa?Hakuna kocha hapa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2001283
Getafe aliifundisha akikwa na miaka 34 mkuu??Alifanikiwa kuishusha daraja Getafe 2015/2016.
Angalia CV yake mkuu, 2014-2015 alikua Headcoach wa Getafe B.Getafe aliifundisha akikwa na miaka 34 mkuu??
Unahiji swala la kocha kutimuliwa? Nyinyi mmefukuza makocha wangapi ndani ya hii miaka mitano?Toka 2009 hadi 2021 amehama/kufukuzwa Mara 11. Why? Hata pale unapo employ mtu akiwa na cv ya kutokuwa stable lazima ku question na kufanya due diligence ya nguvu.
Mode of training ziko tofauti kabisa na Mabara mengine katika mpira hapa namaanisha training facilities za afrika kama viwanja vya mazoezi na match ni tofauti kabisa ila kocha kutoka Ulaya hili la viwanja vibovu vitampa shida sanaSoka la africa lina kipi cha ziada? Achilia mbali upumbavu wa nje ya uwanja.
Sent using Jamii Forums mobile app
He has full experience in African Football
Acha uongo hajawahi kuwa kocha mkuu. Angalia hapo chiniAngalia CV yake mkuu, 2014-2015 alikua Headcoach wa Getafe B.
2015-2016 Getafe ya wakubwa, baadae akatimuliwa.
Na Getafe ilishuka daraja msimu huo.
Alitimuliwa baada ya kufanya vibaya.Acha uongo hajawahi kuwa kocha mkuu. Angalia hapo chini
View attachment 2001313
Acha ujinga... Angalia taarifa kamili hizi kutoka kwenye chanzo cha uhakika.Alitimuliwa baada ya kufanya vibaya.View attachment 2001316
Mkuu chanzo cha uhakika unachokiamini ni kipi?Acha ujinga... Angalia taarifa kamili hizi kutoka kwenye chanzo cha uhakika.
View attachment 2001318
Tofauti na fitina za nje ya uwanja tulizozoea waafrika, mbinu za kimipira zikabaki kuwa chachu kubwa ya mafanikio ki-soccer, ndomaana mkiyoka nje ya africa mnabondwa kwasababu zile fitina zinakosa upenyo wa kusaidia chochote.Mode of training ziko tofauti kabisa na Mabara mengine katika mpira hapa namaanisha training facilities za afrika kama viwanja vya mazoezi na match ni tofauti kabisa ila kocha kutoka Ulaya hili la viwanja vibovu vitampa shida sana
Match Approaching kutokana na mpinzani unaye kutana naye, approach za match za Kiafrika ni tofauti na alikotoka
All in all, I wish him all the best coz amekuja kipindi ambacho ni kigumu sana kwake hasa kwa current form ya timu ya simba na mm naamini shida haipo kwa kocha ila ni kwa wachezaji wake
Ingia hata wiki hapo... uliza msimu wa 2014/15, 15/16, 16/17 utaona taarifa kamili.Mkuu chanzo cha uhakika unachokiamini ni kipi?