Mkuu acha kuhangaika na hawa manyani.Alitimuliwa baada ya kufanya vibaya.View attachment 2001316
Hapo umescreenshot season ya 2016-17.Acha ujinga... Angalia taarifa kamili hizi kutoka kwenye chanzo cha uhakika.
View attachment 2001318
Mi nimeweka hapo taarifa za klabu sio CV ambayo ww unaweza jiandikia tu.
Nimekuwekea juu hapo angalia kama utaona hiyo kitu.Hapo umescreenshot season ya 2016-17.
Angalia season ya 2015-16 kama hakuwa headcoach wa Getafe baada ya kuwapromoted kutoka kufundisha Getafe B.
Ulivyo lijinga unaamini kuwa wiki ndio chanzo cha pekee cha uhakika mitandaoni? Hivi hata shule umepita kweli? Hujui kuwa hata wiki ni chanzo dependent?Ingia hata wiki hapo... uliza msimu wa 2014/15, 15/16, 16/17 utaona taarifa kamili.
Watz kwa kudanganyw kijinga bhana.
Acha kushangaa umri wewe Julian Nagelsmann ana miaka 34 na ni coach wa Bayern Munich.Hizo mnazoleta ni drama... Mwaka 2015 alikuwa na miaka 35 tu.
Weka taarifa za club husika za msimu huo hata kutoka la liga wenyewe kama utamuona.Ulivyo lijinga unaamini kuwa wiki ndio chanzo cha pekee cha uhakika mitandaoni? Hivi hata shule umepita kweli? Hujui kuwa hata wiki ni chanzo independent?
Lijinga kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wiki ni independent source pia, ila kwakua hata shule hukupita basi unaona hicho ndo chanzo kisichoweza kutiliwa mashaka.Mi nimeweka hapo taarifa za klabu sio CV ambayo ww unaweza jiandikia tu.
Kama mlivyofanya kwa kaze mlipodanganywa alikuwa Barcelona wa vijana nyani wote mkapoa ππWamechagua Kocha kwa kuwafurahisha Mashabiki, mmemwambia Kocha kuwa Madrid alikua na wakina Benzema na Simba atawakuta kina Kibu!?
Mmemwambia kuwa Madrid alikua na Ramos lakini Simba atamkuta Babu Onyango!?
Weka chanzo chako hapa watu waende angalia taarifa za club husika. Sio unakuja hapa unaweka CV wakati kwenye klabu hatambulikiWiki ni independent source pia, ila kwakua hata shule hukupita basi unaona hicho ndo chanzo kisichoweza kutiliwa mashaka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umehamia kwa wazazi tena? [emoji23] Haya nishikie nguo nimakaze mamako, dogo langu.Kambweto na babako mbwa wewe
Sisi hatudanganyiki kama nyinyi mlivyodanganywa kuwa Kaze aliwahi kuwa kocha wa Barca vijana[emoji23][emoji23].Weka chanzo chako hapa watu waende angalia taarifa za club husika. Sio unakuja hapa unaweka CV wakati kwenye klabu hatambuliki
Nabi kashinda makombe gan na gan?Acha makasiriko wewe KOLO. jibu swali ameshinda makombe Yapi na Yapi. Kocha bora hupimwa kwa mafinikio sio kwa wingi wa vilabu alivyofundisha.
Mimi nimeweka makocha wa GETAFE wewe onesha kama amewahi kuwa kocha wa getafe. Sio unarukaruka hapa.Sisi hatudanganyiki kama nyinyi mlivyodanganywa kuwa Kaze aliwahi kuwa kocha wa Barca vijana[emoji23][emoji23].
Sent using Jamii Forums mobile app
Wekeni hapa ushahidi kutoka Getafe kama amewahi kuwa HEAD COACH hata kwa mwezi mmoja.
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£πMnaacha kujibu swali mnabaki kutukana na kuropoka ropoka hapa.... [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mseme amewahi kushinda KOMBE lipi na lipi
Huyu kocha hana uzoefu wa soka la Afrika. Mapema Sana atafukuzwa Mwezi wa 12 tu baada ya mechi mbili tu