Ni yapi mafanikio ya kocha mpya wa Simba?

Ni yapi mafanikio ya kocha mpya wa Simba?

Wekeni hapa ushahidi kutoka Getafe kama amewahi kuwa HEAD COACH hata kwa mwezi mmoja.
 
Hapo umescreenshot season ya 2016-17.
Angalia season ya 2015-16 kama hakuwa headcoach wa Getafe baada ya kuwapromoted kutoka kufundisha Getafe B.
Nimekuwekea juu hapo angalia kama utaona hiyo kitu.
 
Ingia hata wiki hapo... uliza msimu wa 2014/15, 15/16, 16/17 utaona taarifa kamili.
Watz kwa kudanganyw kijinga bhana.
Ulivyo lijinga unaamini kuwa wiki ndio chanzo cha pekee cha uhakika mitandaoni? Hivi hata shule umepita kweli? Hujui kuwa hata wiki ni chanzo dependent?

Lijinga kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabla ya kushabikia muwe mnajiridhisha na taarifa sahihi.
 
Wamechagua Kocha kwa kuwafurahisha Mashabiki, mmemwambia Kocha kuwa Madrid alikua na wakina Benzema na Simba atawakuta kina Kibu!?
Mmemwambia kuwa Madrid alikua na Ramos lakini Simba atamkuta Babu Onyango!?
Kama mlivyofanya kwa kaze mlipodanganywa alikuwa Barcelona wa vijana nyani wote mkapoa 😂😂
 
Mnaacha kujibu swali mnabaki kutukana na kuropoka ropoka hapa.... [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mseme amewahi kushinda KOMBE lipi na lipi
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣💗
 
Back
Top Bottom