Ni yapi mafanikio ya kocha mpya wa Simba?

Mi wasisi wangu ni viwanja vya mikoani tuu
 
Sifa kubwa ya kocha wetu ni kuishusha daraja Getafe.

CEO ametuletea kocha wa mchongo
 
Acha makasiriko wewe KOLO. jibu swali ameshinda makombe Yapi na Yapi. Kocha bora hupimwa kwa mafinikio sio kwa wingi wa vilabu alivyofundisha.
Kwani Nabi alikuwa na makombe mangapi wakati mnampa kibarua pale Yanga ?
 
Ingia hata wiki hapo... uliza msimu wa 2014/15, 15/16, 16/17 utaona taarifa kamili.
Watz kwa kudanganyw kijinga bhana.
We kichwa majj ingia kwenye hii link usome kama huwezi kusoma omba usaidiwe

 
Unataka ugundue nini?

Uto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…