Pablo LubadikaUto tulieni
View attachment 2002612
Wewe tikitimaji kaa mbali na SimbaSifa kubwa ya kocha wetu ni kuishusha daraja Getafe.
CEO ametuletea kocha wa mchongo
Hii kauli inaniachaga hoi sana, kwani Africa mpira unachezwa angani au ? [emoji23] .. na kama waafrika mna huo ubora mngechukua basi kombe la Dunia [emoji23][emoji23]Huyu kocha hana uzoefu wa soka la Afrika. Mapema Sana atafukuzwa Mwezi wa 12 tu baada ya mechi mbili tu
Wanajifanya huu uzi hawaujuiKafundisha Real Madrid ya Buza
Naomba kujua mafanikio ya kocha mpya wa simba.... Ameshinda mataji GANI na GANI...
Kusema amefundisha sijui Real Madrid hata Cedric Kaze amepiga Barcelona na Bayern Munich kote amefanya Kazi, achilia Mbali Papaa Mwinyi Zahera aliyefundisha huko France....
Nikiangalia mwaka aliopita Madrid kama assistant Coach, Waliambulia kikombe kimoja tu
Muuza matikiti tu huyo.Naomba kujua mafanikio ya kocha mpya wa simba.... Ameshinda mataji GANI na GANI...
Kusema amefundisha sijui Real Madrid hata Cedric Kaze amepiga Barcelona na Bayern Munich kote amefanya Kazi, achilia Mbali Papaa Mwinyi Zahera aliyefundisha huko France....
Nikiangalia mwaka aliopita Madrid kama assistant Coach, Waliambulia kikombe kimoja tu
View attachment 2001243
Kupiga mateke viti vya Plastic na kumzuia Wawa kuchezea SimbaNaomba kujua mafanikio ya kocha mpya wa simba.... Ameshinda mataji GANI na GANI.
Kusema amefundisha sijui Real Madrid hata Cedric Kaze amepiga Barcelona na Bayern Munich kote amefanya Kazi, achilia Mbali Papaa Mwinyi Zahera aliyefundisha huko France.
Nikiangalia mwaka aliopita Madrid kama assistant Coach, Waliambulia kikombe kimoja tu.
View attachment 2001243