Ni yapi mafanikio ya kocha mpya wa Simba?

Ni yapi mafanikio ya kocha mpya wa Simba?

Sifa kubwa ya kocha wetu ni kuishusha daraja Getafe.

CEO ametuletea kocha wa mchongo
Wewe tikitimaji kaa mbali na Simba
JamiiForums1148079297.gif
JamiiForums197428959.jpg
 
Huyu kocha hana uzoefu wa soka la Afrika. Mapema Sana atafukuzwa Mwezi wa 12 tu baada ya mechi mbili tu
Hii kauli inaniachaga hoi sana, kwani Africa mpira unachezwa angani au ? [emoji23] .. na kama waafrika mna huo ubora mngechukua basi kombe la Dunia [emoji23][emoji23]
 
Hii kauli inaniachaga hoi sana, kwani Africa mpira unachezwa angani au ? [emoji23] .. na kama waafrika mna huo ubora mngechukua basi kombe la Dunia [emoji23][emoji23]
Njoo hapa kwanza
 
Wamepotea ........................njooni mteteeni kocha wenu huku
 
Naomba kujua mafanikio ya kocha mpya wa simba.... Ameshinda mataji GANI na GANI...
Kusema amefundisha sijui Real Madrid hata Cedric Kaze amepiga Barcelona na Bayern Munich kote amefanya Kazi, achilia Mbali Papaa Mwinyi Zahera aliyefundisha huko France....
Nikiangalia mwaka aliopita Madrid kama assistant Coach, Waliambulia kikombe kimoja tu

View attachment 2001243
Muuza matikiti tu huyo.
 
Naomba kujua mafanikio ya kocha mpya wa simba.... Ameshinda mataji GANI na GANI.

Kusema amefundisha sijui Real Madrid hata Cedric Kaze amepiga Barcelona na Bayern Munich kote amefanya Kazi, achilia Mbali Papaa Mwinyi Zahera aliyefundisha huko France.

Nikiangalia mwaka aliopita Madrid kama assistant Coach, Waliambulia kikombe kimoja tu.

View attachment 2001243
Kupiga mateke viti vya Plastic na kumzuia Wawa kuchezea Simba
 
[emoji94].... Djigui Diara aliondoka akiacha Simba ina point 24

Anarudi anakuta Simba ina point 25

Anajiuliza Ligi ilisimama au???!![emoji848][emoji848][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom