Ni yapi mahusiano ya mwili mkubwa na uume kuwa mdogo?

Allydasmartboy001

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2018
Posts
604
Reaction score
218
Samahani najua mara nyingi watu wenye miili mikubwa hasa vitambi vikubwa wanakuwa na maumbile madogo. Je mwaume mwenye mwili mkubwa akipungua anaweza kuongeza maumbile yake au anatakiwa afanye nini ili awe na maumbili ya kulizisha mwili??? Kwa yeyote anayejua vyakula vya asili au mazoezi yanayo saidia kukuza uume kwa haraka na kunenepesha???

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Pole sana aisee.

Watu watakuja kukuomba picha hapa jiandae kuipiga ili ukiombwa iwe rahisi kuituma na wakusaidie shida yako kwa urahisi zaidi.

Ahsante.
 
Bonge mwenzangu, unakuwa mwoga?

Obviously kutokana na mafuta mengi ukikaa uume unaingia ndani na kuwa covered na nyama.

Lakini ngoma ikiamka misuli ikatuna kwenye full erection ndio inatoka sasa in all its might.

Acha kuwaza size ya uume wako ukiwa umelala. Its useless. We pambana kuhakikisha una uwezo wa kupata full erection.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inawezekana hata le mbebez hana kibamia eeh?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
acheni kuhangaika Mola amekupeni kila Moja kwa sababu Maalum unaweza kupewa kubwa isifanye Kazi itakuwa na faida gani?

Tatizo lenu WA Africa lack of confidence ndio shida yenu wewe Leo u nataka kumuona Mola kama amekosea kukupa wewe kibamia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…