Allydasmartboy001
JF-Expert Member
- Jul 14, 2018
- 604
- 218
Samahani najua mara nyingi watu wenye miili mikubwa hasa vitambi vikubwa wanakuwa na maumbile madogo. Je mwaume mwenye mwili mkubwa akipungua anaweza kuongeza maumbile yake au anatakiwa afanye nini ili awe na maumbili ya kulizisha mwili??? Kwa yeyote anayejua vyakula vya asili au mazoezi yanayo saidia kukuza uume kwa haraka na kunenepesha???
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app