afyakliniki
Senior Member
- Nov 21, 2018
- 125
- 81
acheni kuhangaika Mola amekupeni kila Moja kwa sababu Maalum unaweza kupewa kubwa isifanye Kazi itakuwa na faida gani?
Tatizo lenu WA Africa lack of confidence ndio shida yenu wewe Leo u nataka kumuona Mola kama amekosea kukupa wewe kibamia?
Asante ndugu yangu tunapiga mazoezi ingawa ni magumu ila kibishi tunaenda nayoMan.. Size doesn't matter much.
Fanya mazoezi.. Narudia FANYA MAZOEZI HASWAAAAAA.
Fanya cardio pia fanya ya kujenga kidogo (ili ukaze hizo nyama, baada ya kupungua)
Ukifanya mazoezi UTAJIVUNIA UUME wako na uwezo wako wa kuutumia.
Asante na Karibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Unahitaji nikujibu?mkuu wewe uume wako unamifupa??🙎
Unaposema mwili mkubwa kuna mawili, mosi ni gigantism na pili ni obesty sijaelewa unamaanisha yupi..Samahani najua mara nyingi watu wenye miili mikubwa hasa vitambi vikubwa wanakuwa na maumbile madogo. Je mwaume mwenye mwili mkubwa akipungua anaweza kuongeza maumbile yake au anatakiwa afanye nini ili awe na maumbili ya kulizisha mwili??? Kwa yeyote anayejua vyakula vya asili au mazoezi yanayo saidia kukuza uume kwa haraka na kunenepesha???
Sent using Jamii Forums mobile app
Maca root na tangkaiSamahani najua mara nyingi watu wenye miili mikubwa hasa vitambi vikubwa wanakuwa na maumbile madogo. Je mwaume mwenye mwili mkubwa akipungua anaweza kuongeza maumbile yake au anatakiwa afanye nini ili awe na maumbili ya kulizisha mwili??? Kwa yeyote anayejua vyakula vya asili au mazoezi yanayo saidia kukuza uume kwa haraka na kunenepesha???
Sent using Jamii Forums mobile app
Unazungumzia ukubwa upi?Simple tu mwili ukiwa mkubwa huwa unavuta nyama zote za sehemu ya chini ikiwa ni pamoja na sehemu za siri , unazipandisha tumboni, kitu hicho kinapelekea kuji roma mkatoliki faster, .
Jaribu kuwachunguza wanawake wengi walio wahi kunenepa vibaya utagundua huwa wanakuwa shapeless kwasababu nyama ya makalio hupanda juu ya tumbo na kuyaacha makalio kutoka kwenye kuitwa makalio hadi tukali, na hapo ndipo chanzo cha tatizo lako kimeanzia, by the way bado unanafasi ya kupunguza mwili wa juu na tumbo ili kurudisha mambo sawa.