afyakliniki
Senior Member
- Nov 21, 2018
- 125
- 81
Man.. Size doesn't matter much.
Fanya mazoezi.. Narudia FANYA MAZOEZI HASWAAAAAA.
Fanya cardio pia fanya ya kujenga kidogo (ili ukaze hizo nyama, baada ya kupungua)
Ukifanya mazoezi UTAJIVUNIA UUME wako na uwezo wako wa kuutumia.
Asante na Karibu
Sent using Jamii Forums mobile app