Tatizo hapa Kifyatu ni kwamba kuna shida ya matamshi ya herufi 'l' na 'r', siyo habari ya watu kutaka uzungu (ingawa hilo kweli lipo). Watangazaji wenyewe wa star tv wanapotaja jina la mwenzao, mara utasikia hilal mara kitu kama hilary. Nashindwa kufahamu yupi yuko sahihi.Hilary nadhani ni kulifanya jina lake liwe la kizungu (anglicized). Hili jina linaonyesha kuwa na asili ya kiarabu na kwa maoni yangu ni kuwa jina lake hasa ni HILAL.
Mohamed - Moody
Rashid - Rush
Bilal - Bill
nk