SHIEKA
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 8,240
- 4,265
Hapa nchini tunalo tatizo la matamshi ya herufi 'l' na 'r'. Yapo majina ya watu- wasanii watangazaji nk. yanayonichanganya sana kwa sababu ya hizo herufi 'l' na 'r'. Nisaidie kwa mfano majina yafuatayo:
1. Msanii maarufu wa nyimbo za asili huko mkoani kagera ni Saida Kalori ama Saida Karoli?
2.Mtangazaji maarufu wa Star Tv ambaye pia ni shabiki mkubwa wa mpira wa miguu ni Hilal Riyami ama Hilary Riyami?
Asanteni!