Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 761
- 6,985
Naanza kujiuliza upi msimamo wa Waziri wa Fedha kwenye kukusanya mapato? Bado ataendelea kusimamia mfumo wa mabavu?
Makamu wa Rais pia alikuwa Waziri wa Fedha wakati wafanyabiashara wananyanyaswa, leo trilioni mbili anazoelekeza litakusanywa kwa mfumo wa zamani au njia aliyoelekeza Rais?
Wabunge wa chama Cha mapinduzi watasimama walipokuwa au wamebadili msimamo?
Je, Taifa ili viongozi wengi wanafikiri na kutenda wanachofikiri Ni sahihi au wanaishi kwakufikirishwa? Tulitegemea haya yasemwe toka awamu ya tano kwani tuliyajua ila tulikaa kimya. Tuliponye Taifa