Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Nimefuatilia matangazo ya vyombo vyetu vya habari, naamini na wewe utakubaliana na mimi kwamba vyombo vyetu vimeambatana na Waziri Mkuu kisha vikaambatana na RC kadri anavyofika eneo la tukio.
Viongozi wakiondoka na vyombo navyo vinazimwa. Hakuna chombo hadi sasa kilichotoa idadi ya watu ambao ndugu zao wamethibitisha wapo chini ya jengo.
Kuna ndugu wamepiga simu usiku wanatoa hadi location walipo na wapo kumi ila mwandishi wa habari hata kuuliza mambo ya msingi ya kufanikisha wafikiwe kupewa misaada hakuna.
Vyombo vya Habari kwa kutokuwepo eneo la tukio wameripoti kwamba uokozi umesitishwa. Wakati wanatoa habari hizo RC anasema kazi inaendelea.
Je, Vyombo vya Habari vimezuiwa kufanya live coverage? Tatizo lipo wapi hadi wanakosa utu dhidi ya waliopo kwenye majanga? Wanahitaji hadi wapewe bahasha?
PIA SOMA
- LIVE - Live Updates Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Majeruhi 63 kati ya 70 waruhusiwa, uokozi bado unaendelea, zoezi halijasitishwa