Tungeelewa kwanini nchi kama uingereza awataki counter arguments za wengine hadi wamezitoa TV channels kama Russia Today, AL-Jazeera, China TV, et al; kupatikana kirahisi ndio tungejua shughuli ya kuongoza nchi sio ya mzaha.
Silaha number moja ya kuendesha nchi ni media, unataka wananchi wako wapate habari na hisia unazotaka wewe.
Mfano kiongozi ambae hataki nchi yake ighubikwe na udini
Maxence Melo angekoma kwa kuachia posts za udini au yeyote anaefumbia macho mijadala hiyo. Hii sio utani ulaya, haya mambo tunaweza chukulia poa kwetu, uingereza unasakwa.
Huko kwengine kwenye ku-shape watu on grounds thinking wanatumia hela nyingi sana wamarekani. Watu hawabebi tu bendera na kupeperusha mbele ya nyumba zao.
Hiyo propaganda inayotumika hela wanazopewa Hollywood studio kuonyesha America is great ni ndogo.
Shughuli ya kuendesha nchi na kuwapa watu wake fikra za maendeleo ni mchezo wa watu wenye akili.
Wenzetu, hawajaendelea kwa bahati. Isipokuwa nyuma yake kuna watu wenye akili sana.
Na tukiwapata hao watu kwa Tanzania kazi yao haitokuwa raisi mwanzo kuwabadili watu tabia.
Ndio maana Magufuli akueleweka.
Shughuli ya kupeleka maendeleo na kuwabadili watu tabia (sio kazi ndogo) ni mataahira tu ambae akumuelewa Magufuli.