Ni yeye hakuna mwingine, bora jana kuliko kesho

Subira the princess

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2018
Posts
4,555
Reaction score
4,758
Wasalaam.
Ukweli mchungu ni kwamba babu kikwete ndie kinara wa mikataba mibovu inayolinyonya taifa enzi ya utawala wake na utawala huu wa sasa.

Na sasa kajipenyeza chamani ba serikali kakalia kiti cha dereva na soon kuna kutumbukia bondeni.

Ushahidi huu hapa.

Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…