Ni yupi bora kati ya hawa?

Biohazard

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2011
Posts
2,197
Reaction score
1,465
1. Mwanamke anyejua kuvaa
2.Mwanamke anayejua kupika
3.Mwanamke mwenye tabia nzuri.

Choose one
 
Mwenye tabia nzuri....ndie bora...
 
Kwani kupika vizuri inaweza ikafit kwenye tabia? au kuvaa kunaweza kufit?
 
Yani Tabia nzuri imejieleza yenyewe ikiwa na maana matendo mema, hakuna kuangalia sura wala talent
 
hivi yawezekana awe na tabia nzuri lakini asijue kuvaa vizuri na mapishi?.........naona kama unajirudiarudia...................
 
Tabia nzuri is very general I think ungeweka specifics
 
tabia na maadili vinaendana mkuu! So akiwa na maadili atakuwa na tabia nzuri na atajua kupika pia,huyo ndo mwanamke bora wakuu!!!
 
4. Anayejua kutoa 'vitu' ambavyo siezi kuvipata kwa mwanaume mwenzangu..bottom line.
 
Mwenye taabia nzuri ni bora zaidi ya mwenye kuvaa na kupika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…