Ni yupi bora kati ya hawa?

Ni yupi bora kati ya hawa?

Mwenye tabia nzuri halafu hajui lupika simtaki, mjuvi wa mapishi halafu tabia mbovu pia. simtaki.

Bottom line ni kuwa huweza kuchagua kwa kutumia kigzo kimoja tu, vigezo vingi vinategemeana.
 
1. Mwanamke anyejua kuvaa
2.Mwanamke anayejua kupika
3.Mwanamke mwenye tabia nzuri.

Choose one
Mwanamke mwenye tabia nzuri lazima ajue kuvaa, maana kutembea uchi ni tabia mbaya, mwanamke mwenye tabia nzuri anajua kupika kwasababu kutokujua kupika ni tabia mbaya.
 
sasa kama anatabia nzur alafu hajui kupika kip bora hapo du kwel huu ni mtihan wa ajabu sna
 
hivi yawezekana awe na tabia nzuri lakini asijue kuvaa vizuri na mapishi?.........naona kama unajirudiarudia...................
Mkuu mbona wengi tu wapo, ndo maana watu wengine wanaenda kutafuta wake vijijini wenye maadili, na kuwafundisha kuvaa na kupika vizuri.
 
1. Mwanamke anyejua kuvaa
2.Mwanamke anayejua kupika
3.Mwanamke mwenye tabia nzuri.

Choose one
siwataki wote hao, mi nataka mchafu ili nimfaidi mwenyewe tu, ile midowezi dowezi niikomeshe.
 
Kwavile kuvaa hakuhusiki sana mkiwa chumbani, basi huyo mvaaji simchagui kisa cha kuvaliwa tight jeans chumbani?!!!
 
Tabia nzuri is very general I think ungeweka specifics
kaka mpona specs zipo direct ni ngumu kupata vyote hivyo, ndo maana unasikia watu wansema kuoa kazi. Maana yake wanatafuta combination hiyo.
 
Mwenye tabia nzuri halafu hajui lupika simtaki, mjuvi wa mapishi halafu tabia mbovu pia. simtaki.

Bottom line ni kuwa huweza kuchagua kwa kutumia kigzo kimoja tu, vigezo vingi vinategemeana.
Please follow instructions.... Ukishindwa mtihani unasubiri nusu saa then unatoka nje.
 
Mwanamke mwenye tabia nzuri lazima ajue kuvaa, maana kutembea uchi ni tabia mbaya, mwanamke mwenye tabia nzuri anajua kupika kwasababu kutokujua kupika ni tabia mbaya.
<br />
<br />
Umenikuna Mkuu!
 
mwenye tabia nzuri, mengine yanafundishika
 
Back
Top Bottom