Mwanamke mwenye tabia nzuri lazima ajue kuvaa, maana kutembea uchi ni tabia mbaya, mwanamke mwenye tabia nzuri anajua kupika kwasababu kutokujua kupika ni tabia mbaya.1. Mwanamke anyejua kuvaa
2.Mwanamke anayejua kupika
3.Mwanamke mwenye tabia nzuri.
Choose one
Mkuu mbona wengi tu wapo, ndo maana watu wengine wanaenda kutafuta wake vijijini wenye maadili, na kuwafundisha kuvaa na kupika vizuri.hivi yawezekana awe na tabia nzuri lakini asijue kuvaa vizuri na mapishi?.........naona kama unajirudiarudia...................
siwataki wote hao, mi nataka mchafu ili nimfaidi mwenyewe tu, ile midowezi dowezi niikomeshe.1. Mwanamke anyejua kuvaa
2.Mwanamke anayejua kupika
3.Mwanamke mwenye tabia nzuri.
Choose one
mwanamke madikodiko bwana1. Mwanamke anyejua kuvaa
2.mwanamke anayejua kupika
3.mwanamke mwenye tabia nzuri.
Choose one
Please follow instructions.... Ukishindwa mtihani unasubiri nusu saa then unatoka nje.Mwenye tabia nzuri halafu hajui lupika simtaki, mjuvi wa mapishi halafu tabia mbovu pia. simtaki.
Bottom line ni kuwa huweza kuchagua kwa kutumia kigzo kimoja tu, vigezo vingi vinategemeana.
<br />Mwanamke mwenye tabia nzuri lazima ajue kuvaa, maana kutembea uchi ni tabia mbaya, mwanamke mwenye tabia nzuri anajua kupika kwasababu kutokujua kupika ni tabia mbaya.
1. Mwanamke anyejua kuvaa
2.Mwanamke anayejua kupika
3.Mwanamke mwenye tabia nzuri.
Choose one