bryan2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,323
- 4,679
Aliyekusadia Ada ya shule baada ya kupewa ada na wazaz na wewe kuila
Aliyekusaidi pesa za nauli baada ya kuibiwa/kudondosha nauli na uko eneo la ugenini
Aliyekusaidia fedha za matibabu baada ya kuumwa ghafla na huku huna fedha
Aliyekusaidia/kukuongezea fedha za malipo ya mahari yako
Ongeza na wenginee kama wako...