Ni Yupi hutamsahau kati ya Hawa?

Ni Yupi hutamsahau kati ya Hawa?

bryan2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,323
Reaction score
4,679
Aliyekusadia Ada ya shule baada ya kupewa ada na wazaz na wewe kuila

Aliyekusaidi pesa za nauli baada ya kuibiwa/kudondosha nauli na uko eneo la ugenini

Aliyekusaidia fedha za matibabu baada ya kuumwa ghafla na huku huna fedha

Aliyekusaidia/kukuongezea fedha za malipo ya mahari yako

Ongeza na wenginee kama wako...
 
Asee sitakaa nimsahau alienikata govi yaani katika wanaume na mimi nimo[emoji86] [emoji86]
 
Aliyekusadia Ada ya shule baada ya kupewa ada na wazaz na wewe kuila

Aliyekusaidi pesa za nauli baada ya kuibiwa/kudondosha nauli na uko eneo la ugenini

Aliyekusaidia fedha za matibabu baada ya kuumwa ghafla na huku huna fedha

Aliyekusaidia/kukuongezea fedha za malipo ya mahari yako

Ongeza na wenginee kama wako...
Wote sitwasahau
unless nimepotez kumbukumbu zangu
 
Aliyetumia pesa zangu zote akaniacha homeless, Mungu amlaani milele
 
Back
Top Bottom