Asee sitakaa nimsahau alienikata govi yaani katika wanaume na mimi nimo[emoji86] [emoji86]Aliyekusadia Ada ya shule baada ya kupewa ada na wazaz na wewe kuila
Aliyekusaidi pesa za nauli baada ya kuibiwa/kudondosha nauli na uko eneo la ugenini
Aliyekusaidia fedha za matibabu baada ya kuumwa ghafla na huku huna fedha
Aliyekusaidia/kukuongezea fedha za malipo ya mahari yako
Ongeza na wenginee kama wako...
asanteeWazazi wangu walionileta duniani
Wote sitwasahauAliyekusadia Ada ya shule baada ya kupewa ada na wazaz na wewe kuila