Ni yupi kati ya hawa ni wa kumuandaa kuwa Rais wa Tanzania hapo baadaye?

nitaiongoza hii nchi kuanzia 2035, na nitakaa madarakani kwa 30yrs, baada ya hapo Tanzania itakuwa ni moja ya nchi inayoogopeka sana duniani.

Bila kuja binadamu mwenye fikra na maono kama yangu, hii nchi haiwezi kutoboa.
Mtakaokuwa hai kuanzia 2035 mpaka 2065 mtaiona hii nchi itakavyopaa.
 
Tundu lisu atapata urais wa wanasheria tu
 
Tunakusubiria Mkuu
But kuanzia Hapo 2025 Hadi 2035 Nani anatufaa!!!?jibuni KWANZA!!
 
Nani anaanda marais wa Tanzania?
 
Tunakusubiria Mkuu
But kuanzia Hapo 2025 Hadi 2035 Nani anatufaa!!!?jibuni KWANZA!!

hawa angalau wanaafadhali kidogo Dr Hussein Mwinyi, Ridhwani Kikwete, Hussen Bashe, January Makamba, Freeman Mbowe, Sugu wa CDM,Adam Malima, Eng Hersi wa Yanga.

Tukishindwa kabisa bora arudi Mkwere wa Msoga, JK mwenyewe amalizie mpaka 2035 anikabidhi gurudumu.
 
Umewasahau Zitto na Pascal Mayalla.
 
Wabongo nunda wengi, JPM style the best nchi itapaa kiuchumi,kwa orodha yako hapo hakuna hata mmoja
 
Kwann umemweka Tundulisu ktk nafasi ya 10 wakati alistahili kuwepo nafasi ya 1 tena uki highlight jina lake mkuu ! Tundulisu ndo future ya Tz
 
KWA MARA YA KWANZA NAOMBA NIWAELEZE KUWA VIONGOZI WAJAO NI

TRIPPLE "M"

MWINYI
MWIGURU
MAJALIWA
 
Sioni jina hapo labda nitafute mawani ya mbao
 
Mungu anajua aliemwandaa yeye, mambo hubadilika wiki tu,meza inapinduliwa
 
Reactions: RNA
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…