Ni yupi kati ya hawa ni wa kumuandaa kuwa Rais wa Tanzania hapo baadaye?

Habari wana JF, Kiongozi wa nchi huandaliwa kwa Muda mrefu kwa Manufaa ya Taifa, sio kuchaguliwa bila kumjua vizuri .

Kwa Mimi nimefikiri na kuchambua na kupata hawa Watu wanafaa kabisa kuandaliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania:-​

1. Rais Hussein Mwinyi

2. Bashiru Ally

3. Askofu Gwajima

4. Kassim Majaliwa

5. Paul Makonda

6. Ummy Mwalimu

7. Hussein Bashe

8. Emmanuel Ole Shangai

9. Kenani Kihongosi

10. Tundu Lissu

Nini Maoni yenu wanajf tukizingatia kigezo cha Uzalendo na kujituma kupiga Kazi. Lengo ni Kusaidia Vyama na Taasisi husika kuchagua Watu Sahihi .
Rais Yuko Zanzibar
 
2030 hadi 2040 ni Mwinyi.
2040 hadi 2050 ni January Makamba.
Wengine wasubiri kwanza.
 
Habari wana JF, Kiongozi wa nchi huandaliwa kwa Muda mrefu kwa Manufaa ya Taifa, sio kuchaguliwa bila kumjua vizuri .

Kwa Mimi nimefikiri na kuchambua na kupata hawa Watu wanafaa kabisa kuandaliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania:-​

1. Rais Hussein Mwinyi

2. Bashiru Ally

3. Askofu Gwajima

4. Kassim Majaliwa

5. Paul Makonda

6. Ummy Mwalimu

7. Hussein Bashe

8. Emmanuel Ole Shangai

9. Kenani Kihongosi

10. Tundu Lissu

Nini Maoni yenu wanajf tukizingatia kigezo cha Uzalendo na kujituma kupiga Kazi. Lengo ni Kusaidia Vyama na Taasisi husika kuchagua Watu Sahihi .
kweli nimeamini wehu ni wengi hapa duniani.
 
Ongeza
Dr.Msukuma
Dr.Tale
 
Back
Top Bottom