Ni yupi kati ya hawa ni wa kumuandaa kuwa Rais wa Tanzania hapo baadaye?

Ni yupi kati ya hawa ni wa kumuandaa kuwa Rais wa Tanzania hapo baadaye?

Habari wana JF, Kiongozi wa nchi huandaliwa kwa Muda mrefu kwa Manufaa ya Taifa, sio kuchaguliwa bila kumjua vizuri .

Kwa Mimi nimefikiri na kuchambua na kupata hawa Watu wanafaa kabisa kuandaliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania:-​

1. Rais Hussein Mwinyi

2. Bashiru Ally

3. Askofu Gwajima

4. Kassim Majaliwa

5. Paul Makonda

6. Ummy Mwalimu

7. Hussein Bashe

8. Emmanuel Ole Shangai

9. Kenani Kihongosi

10. Tundu Lissu

Nini Maoni yenu wanajf tukizingatia kigezo cha Uzalendo na kujituma kupiga Kazi. Lengo ni Kusaidia Vyama na Taasisi husika kuchagua Watu Sahihi .
Tundu Lisu , Bashungwa, freeman Mbowe, Tulia Acson !! Baada ya Mama ni zamu ya Wakristo msisahau hilo !!
 
Askofu Gwajima.



Huyu anawatetea wavamizi wa maeneo ya watu kule Mbopo na mabwepande.

Inasikitisha wengi.

Anatetea uhalifu Huyu ni kiongozi wa aina gani sasa?!

Amekua kikwazo kikubwa katika kutatua migogoro ya ardhi jimboni kwake!
 
Back
Top Bottom