Ni yupi kati ya hawa ni wa kumuandaa kuwa Rais wa Tanzania hapo baadaye?

Ni yupi kati ya hawa ni wa kumuandaa kuwa Rais wa Tanzania hapo baadaye?

Habari wana JF, Kiongozi wa nchi huandaliwa kwa Muda mrefu kwa Manufaa ya Taifa, sio kuchaguliwa bila kumjua vizuri .

Kwa Mimi nimefikiri na kuchambua na kupata hawa Watu wanafaa kabisa kuandaliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania:-​

1. Rais Hussein Mwinyi
Nini Maoni yenu wanajf tukizingatia kigezo cha Uzalendo na kujituma kupiga Kazi. Lengo ni Kusaidia Vyama na Taasisi husika kuchagua Watu Sahihi .
Rais wa 2025 ni huyo No. 1 Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke
P
 
Sioni, labda katiba iruhusu Mtanzania yoyote hata kama hana chama, mwenye maono na mzalendo. Wapo ila hawajionyeshi, mtu atakaetumia rasilimali zetu kutuletea maendeleo.
 
Habari wana JF, Kiongozi wa nchi huandaliwa kwa Muda mrefu kwa Manufaa ya Taifa, sio kuchaguliwa bila kumjua vizuri .

Kwa Mimi nimefikiri na kuchambua na kupata hawa Watu wanafaa kabisa kuandaliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania:-​

1. Rais Hussein Mwinyi

2. Bashiru Ally

3. Askofu Gwajima

4. Kassim Majaliwa

5. Paul Makonda

6. Ummy Mwalimu

7. Hussein Bashe

8. Emmanuel Ole Shangai

9. Kenani Kihongosi

10. Tundu Lissu

Nini Maoni yenu wanajf tukizingatia kigezo cha Uzalendo na kujituma kupiga Kazi. Lengo ni Kusaidia Vyama na Taasisi husika kuchagua Watu Sahihi .
Namba Tano TOA KABISA TUPA CHOONI.

KASIMU MAJALIWA NDO MTU SAHIHI.
AU TUNDU LISU
AU HUSEIN BASHE

Hao wengine waendelee na ubunge.
 
Habari wana JF, Kiongozi wa nchi huandaliwa kwa Muda mrefu kwa Manufaa ya Taifa, sio kuchaguliwa bila kumjua vizuri .

Kwa Mimi nimefikiri na kuchambua na kupata hawa Watu wanafaa kabisa kuandaliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania:-​

1. Rais Hussein Mwinyi

2. Bashiru Ally

3. Askofu Gwajima

4. Kassim Majaliwa

5. Paul Makonda

6. Ummy Mwalimu

7. Hussein Bashe

8. Emmanuel Ole Shangai

9. Kenani Kihongosi

10. Tundu Lissu

Nini Maoni yenu wanajf tukizingatia kigezo cha Uzalendo na kujituma kupiga Kazi. Lengo ni Kusaidia Vyama na Taasisi husika kuchagua Watu Sahihi .
Hadi ngwajima??? Aisee watanzania hivi mnaonaga sawa tu kuwa na raisi ambaye ni mtu anayesemaga uongo uongo na ambaye hana msimamo
 
Hakuna ukweli hapo....Raisi Haandaliwi!..... Hivyo unavyodhani...
Tuna mfumo complex sana! Ambao unasababisha tusijue tulipotoka, tulipo... Wala tunakoelekea....
Mfano halisi ni ile dira yenu ya maendeleo2020-2025......naona maruweruwe tu hadi sasa!

Bali Uongozi makini ni kipaji...na sio makalio kwamba kwamba Kila mtu anaweza kukalia....

Hii ilikuwa kipindi cha mwishoni cha mwendazake......iligeuka kuwa sanaa!....

Maana tumewaona/tunawaona waigizaji wengi mjengoni....Hadi Sasa...sanaa bado ingali inaendelea on set....

Ni mfumo tuliouteungeneza unatuamulia aina ya mtawala ajaye na si kiongozi......

Mfumo makini, ndio unaotoa kiongozi makini..... anaejipambanua kwa utashi na maono chanya yanayojitanabaisha kwenye fikra za walio wengi.

Sitegemei na haitatokea hata siku moja!.... Kuja kupata kiongozi makini katika mfumo huu!.....bali kutakuwa na mtawala mpya ndani ya mfumo ule ule......!

Sawa na kununua gari jipya la kutembelea....lakini kuendelea kulalia kitanda kile kile cha siku zote!....

Hayo mambo ni unpredictable......
Sio sawa na kulala kwa buza mpalange....halafu uamkie oyster bay!

Kiongozi makini/Raisi makini. Ni matokeo ya mfumo makini uliopo.

Mwendazake alikuwa akidhaniwa na nani!? Kuwa Raisi Kabla ya ule mparaganyiko!? Nani alikuwa anamtegemea!?

Nafasi ya juu kama hiyo inaawekewa baadhi ya mipaka ya kimaamuzi na Katiba makini,

Hasa katika maamuzi makubwa yenye maslahi kwa taifa...eg mikataba mikubwa, mikopo,miradi na mikataba mikubwa ya taifa nk.

Uandaaji wa mtu wa nafasi hii hufanywa kwa weledi na umakini wa hali ya juu covertly hasa kwa wale wenzetu walioendelea.

Maana ikijulikana mapema watataanza kumfukulia makaburi!
Maana hakuna malaika chini ya jua......

Ndio maana hata ambao huwa wanatajwa huwa wanakanusha kata kata! Maana wanafahamu maovu yao kufunuliwa mapema.
 
Back
Top Bottom