Ni yupi kati ya mwanaume na mwanamke anaitamani ndoa zaidi kuliko mwingine?

Ni yupi kati ya mwanaume na mwanamke anaitamani ndoa zaidi kuliko mwingine?

mwanamme mpumbavu ndo anatamani ndoa
mwanamke lazima atamani kwakuwa yeye ndo anafaidika, mgao pasu kwa pasu anapata na hakuna alichochangia zaidi ya papuchi
anakula bure na kupewa pesa, maisha mtelezo, hakuna anachochangia zaidi ya papuchi
Sure bro wajinga wajinga tu ndio wanafunga ndoa na wadada hawajui hii code
 
Ni yupi kati ya mwanaume na mwanamke anaitamani ndoa zaidi kuliko mwingine, na kwa nini huyo mwenye matamanio zaidi iwe hivo?

Karibuni.
Ukienda kwa wachungaji na waganga watakupa majibu tena kwa mifano na idadi halisi.

Humu watajifanya kupinga ila mioyoni mwao wanazitafuta sana,tena kwa fujo na siku hizi mpaka wanatumia ushawishi wa fedha zao.
 
Back
Top Bottom