Ni yupi kati ya mwanaume na mwanamke anaitamani ndoa zaidi kuliko mwingine?

mwanamme mpumbavu ndo anatamani ndoa
mwanamke lazima atamani kwakuwa yeye ndo anafaidika, mgao pasu kwa pasu anapata na hakuna alichochangia zaidi ya papuchi
anakula bure na kupewa pesa, maisha mtelezo, hakuna anachochangia zaidi ya papuchi
Sure bro wajinga wajinga tu ndio wanafunga ndoa na wadada hawajui hii code
 
Ushamba wa k kwa wanaume ndo unawafanya waoe na huwa wanadhani mechi ni kila siku hadi anazeeka bila kujua kuna kipindi no mechi
 
Ni yupi kati ya mwanaume na mwanamke anaitamani ndoa zaidi kuliko mwingine, na kwa nini huyo mwenye matamanio zaidi iwe hivo?

Karibuni.
Ukienda kwa wachungaji na waganga watakupa majibu tena kwa mifano na idadi halisi.

Humu watajifanya kupinga ila mioyoni mwao wanazitafuta sana,tena kwa fujo na siku hizi mpaka wanatumia ushawishi wa fedha zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…