Ni yupi mshindani wa terra-luna kwa sasa kwenye algorithmic decentralized stablecoin?

KISIWAGA

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2015
Posts
8,022
Reaction score
16,563
Kwa wale wenye uelewa wa crypto & blockchain je kuna uwezekano wa kuibuka algorithmic decentralized stablecoin itakayoweza kushindana na UST

Najilaumu sana kutoinunua luna mapema maana inaonekana ni coin ambayo bei yake itakuwa iko all time high mwaka mzima endapo hatajitokeza mshindani mwenye ubunifu zaidi ya terra kwenye decentralized stablecoin
 
mpaka leo huu uzi hauna wachangiaji kabisa kweli nimeelewa kwa nini bei ya mafuta nchini iko chini kulinganisha na Marekani
 
Niseme tu ukwel huu Uzi nimeusoma mara kadhaa lakin bado sijaelewa kitu
Duh! hataree sana aisee.
Nimegoogle Sasa naomba ishu za Crypto $blockain lakn sijaelewa.
Nawakikisha wenzanzu naomba utoe Ufafanuz wakutosha kuhusu Crypto
 
Kwa wale wenye uelewa wa crypto & blockchain je kuna uwezekano wa kuibuka algorithmic decentralized stablecoin itakayoweza kushindana na UST

Najilaumu sana kutoinunua luna mapema maana inaonekana ni coin ambayo bei yake itakuwa iko all time high mwaka mzima endapo hatajitokeza mshindani mwenye ubunifu zaidi ya terra kwenye decentralized stablecoin
Mkuu usijilaumu,bora hata hujainunua,hio ndio pona yako
 
Naomba elimu ya kutosha kuhusu hilo jambo- RENEC maana sijaelewa bado
Faida yake na hasara yake
Faida ni kwamba itapoingia sokoni RENEC ulizovuna sasa bure zitakuwa na thamani ya fedha. Hasara ni kwamba itakubidi kila siku utumie dakika mbili au tatu kufungua app ya Remitano na kufanya mining.
 
mpaka leo huu uzi hauna wachangiaji kabisa kweli nimeelewa kwa nini bei ya mafuta nchini iko chini kulinganisha na Marekani
Hauna wachangiaji kwa sababu Leno ilikua inaenda kuwa trash na imeshakua trash now

Huwezi tengeneza virtual dollar kwa kubackup na bitcoin, depegging was a must. Wajanja walipoona btc inateleza chap wakajiuzia leno zao wakatoka.
 
Mkuu leo nilikuwa natazama cold fusion kuna uchunguzi unafanyika na mamlaka. Kuna fununu kwamba kuna watu au taasisi ilidhaniria kuiangusha hii coin hata kwa wao kula hasara. Yani ledger inaonyesha kuna watu walitumia bitcoin kununua luna halafu ndani ya dakika chache wakawithdraw walichoweka hivyo ukazua chaos kwa wamiliki. Na algorithm yake ilikuwa inatumia UST and Lunna kustabilize coin lakini ile panic ikasababisha watu waanze kuwithdraw chao na system haikuwa imeandaliwa kwa withdraw kubwa kama hyo ikawa tu inazalisha coins nyngne za luna basi ndo ikazidi shuka thaman mpaka 0.
Wanasema aliyefanya hivyo alifanya makusudi kuiangusha.
 
Bila shaka hizi ni kampuni za wallstreet
 
Inaonekana pale Wall Street uMafia ni mwingi.
Hawa wako against crypto,kwa jinsi kuanguka kwa luna kutakavyoambatana msururu wa regulations kutoka kwa mamlaka haiwezekani aliyefanya hii maneno kuwa mtu anayeipenda cryptocurrencies
 
Back
Top Bottom