Okoth p'Bitek
JF-Expert Member
- Jan 11, 2019
- 1,124
- 1,384
Inaonekana pale Wall Street uMafia ni mwingi.
Ukipata mda angalia billions
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaonekana pale Wall Street uMafia ni mwingi.
Mkuu leo nilikuwa natazama cold fusion kuna uchunguzi unafanyika na mamlaka. Kuna fununu kwamba kuna watu au taasisi ilidhaniria kuiangusha hii coin hata kwa wao kula hasara. Yani ledger inaonyesha kuna watu walitumia bitcoin kununua luna halafu ndani ya dakika chache wakawithdraw walichoweka hivyo ukazua chaos kwa wamiliki. Na algorithm yake ilikuwa inatumia UST and Lunna kustabilize coin lakini ile panic ikasababisha watu waanze kuwithdraw chao na system haikuwa imeandaliwa kwa withdraw kubwa kama hyo ikawa tu inazalisha coins nyngne za luna basi ndo ikazidi shuka thaman mpaka 0.
Wanasema aliyefanya hivyo alifanya makusudi kuiangusha.
Sie tunasubiria phaver (social) sijui tutauza liniKama ulifanya Notcoin ukapata Hela ya kula ukafanya Dogs ukapata Hela ya simu mpya basi njoo ufanye hii mpya ujipate kimaisha this time tunaifanya 100% na kwa atayekosa 1,000$+ basi huyo kamwe sio mpambanaji
Project zote mbili zimeletwa na timu hiyo hiyo ambayo imepika mchongo huu basi join chap then kaa nasi tukupe mbinu za kukusanya mkwanja mrefu
Join kupitia hii link na si nyingine kuwa makini na fake links
![]()