kumbe asilimia ya wenye ngoma ni ndogo hivyo?
Ndugu Funzadume,sio idadi ya wenye
ngoma bali prevalence
"According to the data from Tanzania HIV AIDS and Malaria Indicator Survey (THMIS) 2007-2008, the national prevalence among the sexually active populations (between 15 and 49 years of age) is reported to be 5.7 %. The data shows more women (6.6 %) are infected than men (4.6%)
Definition ya prevalence
Medicine: The total number of cases of a disease in a given population at a specific time.
prevalence - (epidemiology) the ratio (for a given time period) of the number of occurrences of a disease or event to the number of units at risk in the population
Na ndio maana huyo mwandishi hapo kataja muda maalum(mwaka mmoja),kwa hiyo hizo ni cases za ukimwi kwa mwaka wa 2007-2008.(however,I remain to be corrected)
Sababu zinazopelekea cheating katika ndoa ziko nyingi,miongoni mwazo ni watu(hususwan wa nchi maskini) wanaoana bila ya kupendana kwa dhati,wanaume huenda ni hulka ya maumbile fulani kwa mwanamke ambayo as she becomes older yanapoteza mvuto ule wa awali hivyo kupelekea jamaa kutafuta mbadala nje,na ndio maana huwa wanakimbilia visichana.
Wanawake nao:Huenda ni kwa vile anayempenda kwa dhati hajamuoa,kwa hiyo just anaamua kuolewa na yoyoyte aliyekuja hata kama hampendi kiviile.Sometimes anaoelewa ili ku sustain life kutokana na ugumu wa life etc.
Pia kukosa mapenzi ya wazazi wetu katika hatua fulani ya ukuaji wetu:Kuna cohort study ilifanywa USA ikaonekana kuwa teenagers ambao walipata sincere and true love from their mothers,walikuwa so romantic na honest to their partners.Kwa hiyo kukosekana kwa mapenzi ya wazazi katika ukuaji wetu kunaweza kuleta athari in our marriages.
All in all,tushikamane na makatazo ya Mola Muumba na tufangamane na mafundisho Yake.Ukitaka kuoa au kuolewa omba Mungu akupatie Wa Ukweli,MchaMungu,muadilifu,Hottie(according to u..maana hii ni relative term) make sure mnapendana ki ukweli kutoka moyoni na siyo just material love,...then wewe kuwa determined kumuogopa Mungu kwa ukweli wa kumuogopa.Trust me,wewe ukiwa muadilifu wa kutosha huwezi kuishi na mzinifu hata kidogo,but ukiwa mzinifu aidha huyo mwenza hatakubali kuishi nawe ama naye atakuwa mzinifu(talking of majority)